IQNA

Mafundisho ya Imam Ridha (AS) Yaliweka Misingi ya Ustaarabu

Mafundisho ya Imam Ridha (AS) Yaliweka Misingi ya Ustaarabu

IQNA – Urithi wa Imam Ridha (A.S.) ni kielelezo kikamilifu cha kuonesha ukuu wa urithi wa Ahlu-Bayt (AS) wa Mtume Muhammad  (SAW), amesema msomi wa Iraq.
14:45 , 2026 Aug 13
Mtume Muhammad (SAW) daima alikuwa akijitahidi kuunganisha safu za watu

Mtume Muhammad (SAW) daima alikuwa akijitahidi kuunganisha safu za watu

IQNA – Msomi mmoja kutoka chuo kikuu cha Lebanon amesema kuwa maadili ya Kiislamu kuelekea wasio Waislamu yamejengwa juu ya msingi kwamba wanadamu ni ama ndugu zako katika dini au wako sawa na wewe katika uumbaji.
16:43 , 2026 Aug 12
Hafla za maombolezo katika Haram ya Najaf kuelekea Usiku wa 28 Safar

Hafla za maombolezo katika Haram ya Najaf kuelekea Usiku wa 28 Safar

IQNA-Haram takatifu ya Imam Ali (AS) mjini Najaf, Iraq, imepokea zaidi ya vikundi 100 vya maombolezo na wajumbe mbalimbali katika usiku wa kuamkia tarehe 28 Safar.
16:31 , 2026 Aug 12
Visa 231 vya Chuki dhidi ya Uislamu nchini Ujerumani katika nusu ya kwanza ya Mwaka 2026

Visa 231 vya Chuki dhidi ya Uislamu nchini Ujerumani katika nusu ya kwanza ya Mwaka 2026

IQNA – Katikati ya hofu inayokua kuhusu wimbi la chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) nchini Ujerumani, mamlaka zimeandikisha visa 231 vya uhalifu dhidi ya Waislamu nchini humo katika nusu ya kwanza ya mwaka 2026.
16:23 , 2026 Aug 12
Msomaji Kijana wa Qur'ani aangaza katika Mashindano ya ‘Dawlet El Telawa’ ya Misri

Msomaji Kijana wa Qur'ani aangaza katika Mashindano ya ‘Dawlet El Telawa’ ya Misri

IQNA – Siku ya pili ya mashindano ya Qur'ani Tukufu ya Dawlet El Telawa nchini Misri ilishuhudia uwezo mkubwa na maonyesho ya kuvutia kutoka kwa washiriki kadhaa.
16:16 , 2026 Aug 12
Assma Ali avunja mwiko: Awa mwanamke wa kwanza Mwislamu kuwa jaji Mississippi, akabili wimbi la ubaguzi

Assma Ali avunja mwiko: Awa mwanamke wa kwanza Mwislamu kuwa jaji Mississippi, akabili wimbi la ubaguzi

IQNA – Katika kitovu cha eneo la Mississippi Delta, mwanamke Mwislamu amekalia kiti cha mahakama ya manispaa akiwa na jina la kihistoria na wimbi la barua za chuki.
15:48 , 2026 Aug 11
Wanawake wa Bosnia wenye Mafanikio ya Kielimu na ya Kuhifadhi Qur’ani

Wanawake wa Bosnia wenye Mafanikio ya Kielimu na ya Kuhifadhi Qur’ani

IQNA – Kundi la wanawake vijana wa Kiislamu katika Kitivo cha Tiba cha Chuo Kikuu cha Sarajevo limekuwa ishara ya muunganiko kati ya utambulisho wa kidini na ubora wa kielimu. Wamepata heshima kuu za kielimu pamoja na mafanikio bora katika kuhifadhi Qur’ani Tukufu.
15:35 , 2026 Aug 11
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani yashinikizwa kulaani hatua ya Ufaransa kufunga msikiti kufuatia kisomo cha Qur’ani

Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani yashinikizwa kulaani hatua ya Ufaransa kufunga msikiti kufuatia kisomo cha Qur’ani

IQNA – Marekani inapaswa kulaani hatua ya Ufaransa ya kufunga msikiti mmoja nchini humo, hatua ambayo inaripotiwa kuchochewa na kisomo cha aya za Qur’ani Tukufu.
15:18 , 2026 Aug 11
Makumbusho ya Waislamu wa Kitatar kuzinduliwa nchini Poland

Makumbusho ya Waislamu wa Kitatar kuzinduliwa nchini Poland

IQNA – Makumbusho yaliyojitolea kuhifadhi historia na utamaduni wa Waislamu wa Kitatar yanatarajiwa kuzinduliwa nchini Poland.
15:07 , 2026 Aug 11
Rais wa IUMS aangazia maisha ya Qur’ani ya mwanazuoni wa Algeria, Sheikh Mohamed Said Kaabash

Rais wa IUMS aangazia maisha ya Qur’ani ya mwanazuoni wa Algeria, Sheikh Mohamed Said Kaabash

IQNA – Rais wa Umoja wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) ametoa rambirambi zake kwa watu wa Algeria na Ummah ya Kiislamu kufuatia kuaga dunia kwa mwanazuoni mkuu wa Qur’ani, Sheikh Mohamed Said Kaabash.
15:20 , 2026 Aug 10
Makumbusho ya Makka yanaonesha Mushaf wa karne ya 18

Makumbusho ya Makka yanaonesha Mushaf wa karne ya 18

IQNA – Nakala ya Qur’ani ya karne ya 18 ni miongoni mwa vitu vinavyoonyeshwa katika Makumbusho ya Qur’ani Tukufu ndani ya Eneo la Utamaduni la Hira huko Makka, Saudia.
15:12 , 2026 Aug 10
Qari kijana nchini Misri ana ndoto ya  kuwa Abdul Basit mwingine

Qari kijana nchini Misri ana ndoto ya kuwa Abdul Basit mwingine

IQNA – Yousef, kijana kutoka Bahira nchini Misri, amewavutia wengi kwa sauti yake ya usomaji Qur’ani Tukufu na ameendeleza kipawa chake kwa kusikiliza qiraa za maqari mashuhuri kupitia mtandao. Anaota ndoto siku moja kuwa miongoni mwa majina makubwa katika uwanja wa usomaji wa Qur’ani na kufuata nyayo za Sheikh Abdul Basit Abdul Samad.
15:07 , 2026 Aug 10
Ushindi wa Imani: Kijana Hafidh mwenye ulemavu wa macho kutoka Bangladesh katika Mashindano ya Qur’ani Makka

Ushindi wa Imani: Kijana Hafidh mwenye ulemavu wa macho kutoka Bangladesh katika Mashindano ya Qur’ani Makka

IQNA – Katika kile kinachothibitisha kuwa nuru ya Qur’ani Tukufu haina mipaka, Mahmoud Hassan Ashrafi, kijana mwenye umri wa miaka 18 kutoka Bangladesh ambaye ana ulemavu wa macho na hivyo haoni, anashiriki katika hatua ya fainali ya Mashindano ya 46 ya kimataifa ya Qur’ani Tukufu huko Makka, Saudia.
15:01 , 2026 Aug 10
Toleo la Tatu la Programu ya ‘Nyoyo Zilizoshikamana na Misikiti’ Sharjah

Toleo la Tatu la Programu ya ‘Nyoyo Zilizoshikamana na Misikiti’ Sharjah

IQNA – Toleo la tatu la programu ya “Nyoyo Zilizoshikamana na Misikiti” (Hearts Attached to Mosques) limepangwa kuzinduliwa huko Sharjah katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
14:53 , 2026 Aug 10
Misikiti: Vituo vya Elimu ya Qur’an nchini Brazil

Misikiti: Vituo vya Elimu ya Qur’an nchini Brazil

IQNA – Kupokea vijana Waislamu na kuwapatia programu za kidini na Qur’ani huifanya misikiti nchini Brazil kuimarisha hali yao ya kiroho, huku pia ikilea kizazi kipya kilichounganishwa na Qur’an na Sunna ya Mtume SAW.
16:16 , 2026 Aug 09
2 3 4 5