IQNA

Qur'ani inaangazia nidhamu katika uumbaji ili kutuongoza kuelekea kwa Muumbaji

Qur'ani inaangazia nidhamu katika uumbaji ili kutuongoza kuelekea kwa Muumbaji

IQNA – Qur’ani Tukufu inarejelea baadhi ya mifano ya nidhamu na utaratibu mkubwa katika uumbaji wa dunia ili kuwaalika watu kutafakari na kuwaongoza hadi kwa Yule aliyeumba nidhamu hii.
17:54 , 2024 May 02
Al-Jawahir ya Sheikh Tantawi  ni mapinduzi katika Tafsiri ya Qur'ani

Al-Jawahir ya Sheikh Tantawi ni mapinduzi katika Tafsiri ya Qur'ani

IQNA – Sheikh Tantawi Jawhari alikuwa mwanazuoni mashuhuri wa Misri na mfasiri wa Qur’ani Tukufu ambaye kazi yake kuu ilikuwa Al-Jawahir fi Tafsir al-Quran al-Karim.
17:40 , 2024 May 02
UN: Rafah isishambuliwe, Wapalestina Gaza wanasubiri kusitisha mapigano

UN: Rafah isishambuliwe, Wapalestina Gaza wanasubiri kusitisha mapigano

IQNA: Wakati kukiwa na ongezeko la wito wa kimataifa kwa Israel kujizuia na mashambulizi zaidi Gaza na ripoti za Mei Mosi za mashambulizi mengine mabaya, wahudumu wa kibinadamu wa Umoja wa Mataifa wamesisitiza kuhusu athari mbaya zinazoendelea za vita hiyo na haja ya kuhakikisha njia za kuaminika za usambazaji wa misaada kwa watu wanaohitaji kwa udi na uvumba zinapatikana.
17:30 , 2024 May 02
Msomi: Uislamu unasisitiza kuhusu kulindwa haki za binadamu

Msomi: Uislamu unasisitiza kuhusu kulindwa haki za binadamu

IQNA – Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahl-ul-Bayt (AS) amesema Uislamu ni mtetezi wa kweli wa haki za binadamu zikiwemo za wanawake.
17:20 , 2024 May 02
Ujenzi wa Kituo Kipya cha Kiislamu, na Qur’ani kwa Wanawake waanza Qatar

Ujenzi wa Kituo Kipya cha Kiislamu, na Qur’ani kwa Wanawake waanza Qatar

IQNA - Operesheni ya ujenzi wa kituo cha Kiislamu na Qur'ani kwa wanawake ilianza katika sherehe nchini Qatar.
23:37 , 2024 May 01
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu: Ghaza ndilo suala la kwanza kwa Ulimwengu

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu: Ghaza ndilo suala la kwanza kwa Ulimwengu

IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Ghaza ndilo suala la kwanza kwa Ulimwengu.
18:02 , 2024 May 01
Haram ya Hadhrat Abbas (AS) yanaanza tena vikao vya kila siku vya Khatmul Qur'an

Haram ya Hadhrat Abbas (AS) yanaanza tena vikao vya kila siku vya Khatmul Qur'an

IQNA – Haram Takatifu ya Hadhrat Abbas (AS) huko Karbala, Iraq imerejesha programu yake ya kila siku ya Khatmul Qur'an.
20:59 , 2024 Apr 30
Maoni ya Waziri Mkuu wa Ufaransa yakosolewa katika Msikiti wa Paris

Maoni ya Waziri Mkuu wa Ufaransa yakosolewa katika Msikiti wa Paris

IQNA - Msikiti Mkuu wa Paris ulimkosoa waziri mkuu wa Ufaransa kwa matamshi yake ya hivi karibuni ya chuki dhidi ya Uislamu.
20:53 , 2024 Apr 30
Chuo Kikuu cha Duke kuchunguza kitendo cha chuki dhidi ya Uislamu

Chuo Kikuu cha Duke kuchunguza kitendo cha chuki dhidi ya Uislamu

IQNA – Ofisi ya Maadili ya  Chuo Kikuu cha Duke nchini Marekani imeanzisha uchunguzi kuhusu uchafuzi wa mabango kuhusu mwezi wa Ramadhani,  jambo ambalo limeibua wasiwasi wa chuki dhidi ya Uislamu ndani ya a chuo hicho.
20:36 , 2024 Apr 30
Wajumbe wa Msafara wa Qur’ani wa Hija wa Iran kuelekea Madina katikati ya Mei

Wajumbe wa Msafara wa Qur’ani wa Hija wa Iran kuelekea Madina katikati ya Mei

IQNA - Wanachama wa msafara wa Qur'ani wa Iran kwa ajili ya Hija mwaka huu wataondoka kuelekea Saudi Arabia Mei 15. Hayo yametangazwa wakati wa mkutano uliofanyika mjini Tehran siku ya Jumapili ili kuufahamisha msafara huo kuhusu misheni na shughuli zao wakati wa mahujaji wa Hija.
19:19 , 2024 Apr 29
Kocha Mfaransa asilimu Algeria akiwa amevutiwa na mapambano ya Wapalestina

Kocha Mfaransa asilimu Algeria akiwa amevutiwa na mapambano ya Wapalestina

IQNA – Patrice Beaumelle, kocha wa soka wa Ufaransa ambaye kwa sasa anaongoza timu ya Mouloudia d'Alger katika ligi kuu ya soka ya Algeria, amesilimu.
10:09 , 2024 Apr 28
Vitendo vya kusikitisha vya kuvunjia heshima Qur'ani vyaendelea Uswidi

Vitendo vya kusikitisha vya kuvunjia heshima Qur'ani vyaendelea Uswidi

IQNA - Inaonekana hakuna nia nchini Uswidi ya kukomesha vitendo vya kuvunjia heshima Qur'ani Tukufu, vitendo ambavyo vimewasikitisha na kuwakasirisha Waislamu kote ulimwenguni.  
09:37 , 2024 Apr 28
Mahaba ya Qari Mutawalli Abdul Aal wa Misri katika Kusoma Qur'ani Tukufu

Mahaba ya Qari Mutawalli Abdul Aal wa Misri katika Kusoma Qur'ani Tukufu

IQNA – Sheikh Mutawalli Abdul Aal Alikuwa qari mkubwa wa Misri ambaye alihifadhi shauku yake ya kusoma hadi siku za mwisho za uhai wake.
08:21 , 2024 Apr 28
Maelezo kuhusu ukandamizaji wa wanafunzi watetezi wa Palestina nchini Marekani

Maelezo kuhusu ukandamizaji wa wanafunzi watetezi wa Palestina nchini Marekani

IQNA-Marekani ndiyo muungaji mkono mkubwa zaidi wa utawala wa Kizayuni wa Israel ambapo serikali ya Biden imetoa msaada mkubwa zaidi wa kijeshi na silaha kwa Tel Aviv wakati wa vita vya Gaza, ambavyo vimeingia katika mwezi wake wa saba.
07:56 , 2024 Apr 28
Maua ya msimu ya machipuo yavutia watalii jijini Tehran

Maua ya msimu ya machipuo yavutia watalii jijini Tehran

IQNA - Hifadhi ya Bustani ya Iran yenye makao yake Tehran hukaribisha maelfu ya wageni mwezi Aprili na Mei kila mwaka huku maua ya Tulip yakibua mandhari ya aina yake katika bustani hiyo.
14:51 , 2024 Apr 27
1