Habari Maalumu
Harakati za Qur'ani
IQNA - Qari mashuhuri wa Iran Hamid Reza Ahmadivafa anashiriki katika kongamano la 23 la kimataifa la Usomaji wa Qur'ani Tukufu nchini Bangladesh.
03 Dec 2024, 12:27
Harakati za Qur'ani
IQNA - Malaak Humaidan, msichana mwenye ulemavu wa macho mwenye umri wa miaka 24 kutoka kijiji cha Hableh kusini mwa Qalqilya, Palestina, amefikia hatua...
02 Dec 2024, 18:04
Qari Mashuhuri
IQNA - Mtoto wa qari mashuhuri wa Misri Abdul Basit Abdul Samad amesisitiza mapenzi ya baba yake kwa Qur'ani Tukufu.
02 Dec 2024, 17:50
Uislamu Duniani
IQNA – Mji wa Sao Paulo nchini Brazil ni mwenyeji wa Mkutano wa 37 wa Kimataifa wa Waislamu wa Amerika Kusini na Karibiani.
02 Dec 2024, 16:55
Aragchi katika mkutano na Rais Assad
IQNA-Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mazungumzo yake na Rais Bashar al-Assad wa Syria mjini Damascus, kwamba...
02 Dec 2024, 18:10
Waungaji Mkono Palestina
IQNA - Mji mkuu wa Uingereza, London siku ya Jumamosi ulikuwa eneo la mjumuiko mkubwa ulioandaliwa na waandamanaji wanaounga mkono Palestina.
02 Dec 2024, 16:46
IQNA - Abdul Basit Abdul Samad alikuwa qari mashuhuri ambaye alianzisha mtindo wake ya usomaji wa Qur'ani Tukufu na kuwatia moyo wale wanaoipenda Qur'ani...
01 Dec 2024, 17:53
Fikra
IQNA - Mtafiti katika qiraa ya Qur'ani ametaja baadhi ya mambo yanayochangia katika usomaji mzuri wa Qur'ani.
01 Dec 2024, 17:58
Qur'ani Barani Afrika
IQNA - Sherehe ilifanyika mapema wiki hii kuwatunuku washindi wa mashindano ya 11 ya kitaifa ya Qur'ani Mauritania.
01 Dec 2024, 17:45
Kadhia ya Palestina
IQNA - Mufti Mkuu wa Misri amesisitiza wajibu wa Waislamu kuhusu suala la Palestina.
01 Dec 2024, 17:40
IQNA - Wizara ya Wakfu ya Misri imesema mashindano ya kila mwaka ya kimataifa ya Qur'ani nchini humo yanalenga kuwaenzi wahifadhi Qur'ani na kuimarisha...
01 Dec 2024, 17:36
Kadhia ya Palestina
IQNA--Kwa mwaka wa pili mfululizo Siku ya Kimataifa ya Mshikamano na Wananchi wa Palestina imeadhimishwa huku Gaza ikiendelea kuwa chini ya hujuma kubwa...
30 Nov 2024, 19:14
Harakati za Qur'ani
IQNA - Kituo cha Qur'ani kinachoitwa Akademia ya Qur'ani ya Dar An-Nur kitazinduliwa Dar es Salaam, jiji kubwa zaidi la Tanzania, hivi karibuni.
30 Nov 2024, 18:51
IQNA - Kuna mashirika mengi ya kutoa misaada ya Kiislamu nchini Marekani yanayojaribu kupeleka misaada Wapalestina wa Ukanda wa Gaza wanaokumbwa na vita...
30 Nov 2024, 19:06
Qur'ani Tukufu
IQNA - Visomo vya kale vya Qur'ani Tukufu vinaweza kuwa muhimu kuwasilisha ujumbe aya za Mwenyezi Mungu, mtafiti mmoja amebaini.
30 Nov 2024, 18:30
Muqawama
IQNA-Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, wanamapambano wa kambi ya Muqawama wako tayari kuendelea kupambana na adui wakati wowote watakapolazimika...
30 Nov 2024, 17:02