iqna

IQNA

zilzala
Zilzala Uturuki na Syria
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) amefanya ziara rasmi nchini Uturuki kufuatia matetemeko makubwa ya ardhi yaliyoikumba nchi hiyo zaidi ya wiki mbili zilizopita.
Habari ID: 3476606    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/22

TEHRAN (IQNA) – Takriban nakala 15,000 za Kurani Tukufu zimetumwa katika maeneo yaliyokumbwa na mitetemeko mikubwa ya ardhi nchini Uturuki ya tarehe 6 Februari.
Habari ID: 3476592    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/20

Zilzala Syria na Uturuki
TEHRAN (IQNA)- Idara ya Mfawidhi wa Haram ya Imam Hussein AS imetuma timu ya madaktari kaskazini mwa Syria kwa ajili ya kutoa misaada kwa wale walioathiriwa na mItetemeko mkubwa ardhi.
Habari ID: 3476580    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/18

Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Takriban misikiti miwili mjini London imepokea barua za chuki dhidi ya Uislamu kufuatia mitetemeko mikubwa ya ardhi nchini Uturuki na Syria ambayo imesababisha vifo vya makumi ya maelfu ya watu.
Habari ID: 3476576    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/17

Zilzala Uturuki na Syria
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Umoja wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) ametoa wito kwa Waislamu walionuia kutekeleza safari ya ibada ya Hija ndogo ya Umrah kusitisha safari hiyo kwa sasa na badala yake kutumia fedha hizo kuwasaidia wahanga wa mitetemeko ( zilzala ) ya ardhi Uturuki na Syria.
Habari ID: 3476559    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/14

Zilzala Syria na Uturuki
TEHRAN (IQNA)-Matumaini ya kupata manusura zaidi chini ya vifusi vya nyumba zilizobomolewa mitetemeko miwili mikubwa ya ardhi Jumatatu iliyopita katika nchi za Syria na Uturuki yanazidi kupungua siku 5 baada ya maafa hayo ambapo idadi ya walipoteza maisha hadi sasa ikifika 25,000 huku Umoja wa Mataifa ukitabiri kuwa yamkini idadi hiyo ikaongezeka maradufu.
Habari ID: 3476547    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/11

Zilzala Syria na Uturuki
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ametangaza hali ya dharura katika mikoa 10 iliyotikiswa na mitetemeko miwili ya ardhi ambayo imepelekea zaidi ya watu 5,100 kupoteza maisha nchini Uturuki na Syria.
Habari ID: 3476524    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/07