iqna

IQNA

wahhabi
Hujjatul Islam Shahriyari
TEHRAN (IQNA)- Hujjatul Islam wal Muslimin Shahriari amesema itikadi ya Ukufurishaji ni kati ya njama za mabeberu na Wazayuni dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3474640    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/04

TEHRAN (IQNA) – Kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) Afrika Magharibi, ISWAP, limethibitisha katika ujumbe wa sauti kwamba kinara wa kundi la kigaidi la Boko Haram la Nigeria, Abubakar Shekau amejiua na kuelekea jongomeo.
Habari ID: 3473987    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/07

TEHRAN (IQNA)- Naibu Spika wa Bunge la Iraq Hassan Karim al-Kaabi ametoa wito kwa Saudi Arabia kukarabati Makaburi ya Baqii katika mji mtakatifu wa Madina.
Habari ID: 3472826    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/02

TEHRAN (IQNA)- Waislamu wasiopungua 305 wameuawa na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa katika shambulizi la magaidi wa Ki wahhabi dhidi ya msikiti mmoja wa Twariqa katika Peninsula ya Sinai nchini Misri.
Habari ID: 3471278    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/24

Sayyid Hassan Nasrallah
IQNA-Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah amesema magaidi wakufurishaji wanaotenda jina magharibi mwa Asia na Afrika hawana uhusiano wowote na Uislamu wala Matume Mtukufu Muhammad SAW.
Habari ID: 3470759    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/25

Zaidi ya maulamaa na maimamu 300 wa Kiislamu Somalia, Kenya, Tanzania, Ethiopia na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wametangaza Fatwa ya kupambana na kundi la kigaidi la al-Shabab na itikadi yenye misimamo mikali ya U wahhabi .
Habari ID: 3353847    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/30