IQNA

Wizara ya Wakfu Misri yamuenzi qari maarufu wa Misri marehemu Sheikh Hamdi al-Zamil

Wizara ya Wakfu Misri yamuenzi qari maarufu wa Misri marehemu Sheikh Hamdi al-Zamil

IQNA – Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 43 tangu kufariki kwa Qari mashuhuri wa Misri, Sheikh Hamdi al-Zamil, Wizara ya Wakfu ya nchi hiyo imesambaza tena baadhi ya qira'a zake katika tovuti rasmi ya wizara hiyo.
16:31 , 2025 May 14
Kituo cha Qur'ani cha Imam Ali chafunguliwa katika mkoa wa Bekaa, Lebanon

Kituo cha Qur'ani cha Imam Ali chafunguliwa katika mkoa wa Bekaa, Lebanon

IQNA – Kituo cha Qur'ani cha Imamu Ali (AS) sasa kimefunguliwa rasmi katika eneo la kaskazini-mashariki mwa Bekaa nchini Lebanon, kikiwa taasisi ya kwanza ya aina yake katika eneo hili inayojitolea kwa elimu na uenezi wa Qur'ani Tukufu.
16:19 , 2025 May 14
Msomi: Hija inaleta manufaa ya kiroho, kisiasa na kijamii kwa Waislamu wote

Msomi: Hija inaleta manufaa ya kiroho, kisiasa na kijamii kwa Waislamu wote

IQNA – Mbunge wa zamani wa Iran ameielezea Hija kama ibada ya kiroho yenye malipo makubwa, lakini pia yenye manufaa mapana ya kisiasa na kijamii kwa Waislamu kote duniani.
16:08 , 2025 May 14
Msafara wa Qur'ani wa Nur kutoka Iran kushiriki vikao 220 vya Qur'ani wakati wa Hija

Msafara wa Qur'ani wa Nur kutoka Iran kushiriki vikao 220 vya Qur'ani wakati wa Hija

IQNA – Msafara wa Qur'ani wa Nur (Noor) kutoka Iran, ambao ni ujumbe wa wasomaji Qur'ani, unajiandaa kuendesha zaidi ya matukio 220 ya Qur'ani wakati wa ibada ya Hija ya mwaka huu wa 1446 Hijria (2025) katika miji mitakatifu ya Makka na Madina.
17:18 , 2025 May 13

"Chanzo cha Fahari": Ayatullah Sistani asifia Tafsiri ya Tasnim

IQNA – Ayatullah Ali al-Sistani, kiongozi mashuhuri wa kidini wa madhehebu ya Shia nchini Iraq, amesifu tafsiri ya Qur'ani ya Tasnim iliyoandikwa na msomi wa Kiirani, Ayatullah Abdollah Javadi Amoli, akiitaja kuwa “chanzo cha fahari kwa Waislamu wa madhehebu ya Shia.”
17:03 , 2025 May 13
Mauritania yalenga kuimarisha maadili ya Qur'an miongoni mwa vijana

Mauritania yalenga kuimarisha maadili ya Qur'an miongoni mwa vijana

IQNA – Mpango mpya umeanzishwa nchini Mauritania kwa lengo la kukuza maadili ya Qurani miongoni mwa kizazi kipya.
16:50 , 2025 May 13
Madrassah za jadi za Qur'ani zaendelea kustawi Algeria

Madrassah za jadi za Qur'ani zaendelea kustawi Algeria

IQNA – Katika mkoa wa El Oued nchini Algeria, Sheikh al-Bashir Atili, mwalimu mkongwe wa Qur'ani katika Msikiti wa Tijaniyah mjini Bayadha, anaendelea kuhamasisha vizazi vipya vya wanafunzi kupitia mbinu ya kitamaduni ya kuhifadhi Qur'ani kwa njia ya diktei na kuandika kwa mkono.
15:48 , 2025 May 13
Maandalizi ya Mashindano ya 7 ya Kimataifa ya Qur'ani kwa Wanafunzi Waislamu

Maandalizi ya Mashindano ya 7 ya Kimataifa ya Qur'ani kwa Wanafunzi Waislamu

IQNA – Washiriki wa baraza la utungaji sera kwa ajili ya Mashindano ya 7 ya Kimataifa ya Qur'ani kwa Wanafunzi Waislamu wametangazwa.
15:23 , 2025 May 13
Kisomo cha Mbinguni: Msikilize Sheikh Minshawi akisoma aya za Surah Qaf

Kisomo cha Mbinguni: Msikilize Sheikh Minshawi akisoma aya za Surah Qaf

IQNA- Ifuatayo ni qiraa (kisomo) ya aya za 31-34 za Surah Qaf zikisomwa na qarii mashuhuri wa Misri Sheikh Muhammad Siddiq Minshawi.
18:16 , 2025 May 12
Tanzania kuwakaribisha maqarii maarufu kutoka Iran katika hafla kubwa ya Qur’ani

Tanzania kuwakaribisha maqarii maarufu kutoka Iran katika hafla kubwa ya Qur’ani

IQNA – Maqari mashuhuri wa Qur'ani kutoka Iran wanatarajiwa kuzuru Tanzania kushiriki katika kongamano kubwa la kimataifa la Qur'ani litakalofanyika jijini Dar es Salaam.
16:04 , 2025 May 12
Maelfu waandamana Ufaransa kulaani kuongezeka kwa Chuki Dhidi ya Uislamu

Maelfu waandamana Ufaransa kulaani kuongezeka kwa Chuki Dhidi ya Uislamu

IQNA – Maelfu ya watu wameandamana katika mitaa ya Paris na miji mingine ya Ufaransa siku ya Jumapili kulaani ongezeko la chuki dhidi ya Uislamu na kumuenzi Aboubakar Cissé, kijana kutoka Mali aliyeuawa akiswali ndani ya msikiti.
15:52 , 2025 May 12
Kituo cha lugha za kimataifa cha Msikiti Mkuu wa Makka chasambaza nakala za Qur'ani zilizo tarjumiwa

Kituo cha lugha za kimataifa cha Msikiti Mkuu wa Makka chasambaza nakala za Qur'ani zilizo tarjumiwa

IQNA – Kituo cha uelimishaji kwa lugha mbalimbali kimezinduliwa katika Msikiti Mkuu wa Makka, mji mtukufu.
15:43 , 2025 May 12
Haramu Tukufu ya Karbala na Taasisi ya Qur'ani ya Senegal kuimarisha ushirikiano

Haramu Tukufu ya Karbala na Taasisi ya Qur'ani ya Senegal kuimarisha ushirikiano

IQNA – Mshauri wa masuala ya Qur'ani katika Idara ya Mfawidhi wa Haram Tukufu ya Imam Hussein (A.S) amekutana na Rais wa Taasisi ya Kimataifa ya Qur'ani ya al-Muzdahar nchini Senegal kujadili njia za kuendeleza ushirikiano.
15:35 , 2025 May 12
Ayatullah Arafi: Vyuo vikuu vya Kiislamu (Hawza) Iran vyashuhudia ustawi Mkubwa katika Elimu ya Qur'ani

Ayatullah Arafi: Vyuo vikuu vya Kiislamu (Hawza) Iran vyashuhudia ustawi Mkubwa katika Elimu ya Qur'ani

IQNA – Ayatullah Alireza Arafi, Mkurugenzi wa Vyuo vikuu vya Kiislamu (Hawza) nchini Iran, ametangaza mafanikio makubwa katika elimu ya Qur'ani na taaluma zake, akisisitiza kuanzishwa kwa fani mpya za kielimu, majarida maalumu, na tafsiri mbalimbali ndani ya mtandao wa hawza.
15:14 , 2025 May 12
Iran kuanzisha shule 1,200 mpya za kuhifadhi Qur’ani ndani ya miaka mitano

Iran kuanzisha shule 1,200 mpya za kuhifadhi Qur’ani ndani ya miaka mitano

IQNA – Wizara ya Elimu ya Iran inapanga kuanzisha shule rasmi 1,200 mpya za kuhifadhi Qur’ani ndani ya kipindi cha miaka mitano ijayo, kwa mujibu wa afisa mmoja mwandamizi.
16:04 , 2025 May 11
13