iqna

IQNA

firauni
Shakhsia Katika Qur’ani Tukufu /27
TEHRAN (IQNA) - Firauni lilikuwa jina la watawala wa Misri ya kale. Firauni aliyeishi wakati wa Nabii Musa (AS) alidai uungu. Alizama baharini lakini mwili wake umebaki kuwa fundisho kwa wanadamu.
Habari ID: 3476406    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/15

Qur'ani Tukufu Inasemaje /29
TEHRAN (IQNA) – Mitume wawili wa Mwenyezi Mungu waliwahi kupewa jukumu la kutekeleza utume muhimu katika mazingira magumu. Wakaambiwa: Msiogope mimi nitakuwa pamoja nanyi.
Habari ID: 3475934    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/15

Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Ufisadi katika nyanja yoyote husababisha kudhoofisha misingi. Jamii iliyoathiriwa na ufisadi itaona matatizo mbalimbali katika ngazi ya mtu binafsi, familia na kijamii. Kwa hiyo, jamii yoyote salama hujitahidi kupambana na ufisadi na kuuzuia.
Habari ID: 3475633    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/16

TEHRAN (IQNA) – Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amenukulu aya za Qur’ani Tukufu katika Surah An-Naziat katika kufafanua kushindwa Donald Trump katika uchaguzi wa rais Marekani mwaka huu.
Habari ID: 3473342    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/08