iqna

IQNA

kaaba
Umrah
IQNA – Waislamu wanaotekeleza Hija ndogo Umrah ndio pekee wataruhusiwa kufanya Tawaf (kuzunguka Kaaba Tukufu) katika Msikiti Mkuu wa Makka, Masjid al-Haram, wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3478465    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/07

Ka'aba Tukufu
IQNA – Mpango wa kawaida wa matengenezo na ukarabati wa Ka’aba katika mji mtakatifu wa Makka ulianza Jumamosi.
Habari ID: 3478023    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/12

Mji wa Makka
TEHRAN (IQNA) – Mvua kwa kawaida hunyesha katika mji mtakatifu wa Makka kwa kiasi kidogo kati ya Novemba na Januari. Ijumaa, Novemba 11, ilikuwa siku ya neema ya mvua katika mji mtakatifu.
Habari ID: 3476080    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/13

Kaaba Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Maafisa kadhaa wa Saudia walihudhuria sherehe za kila mwaka za kuosha Kaaba Tukufu katika mji wa Makka Jumanne asubuhi.
Habari ID: 3475630    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/16

Qur'ani Tukufu Inasemaje /15
TEHRAN (IQNA) – Kaaba tukufu iliyoko Makka ni mahali ambapo Waislamu hutekeleza Hija na Umrah, lakini kwa mujibu wa Qur'ani, Kaaba ni kwa ajili ya mwongozo sio tu kwa Waislamu bali ulimwengu mzima.
Habari ID: 3475453    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/02

Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA) - Maelfu ya waumini wa dini tukufu ya Kiislamu kutoka kona zote za dunia wameendelea kuwasili katika mji mtakatifu wa Makka Ijumaa, wakiwa ni miongoni mwa Waislamu milioni moja wanaotarajiwa kushiriki ibada ya Hija mwaka huu wa 2022 ambapo hii ni mara ya kwanza baada ya miaka miwili ya kuzuia mahujaji kutoka nje ya Saudia kutokana na janga la Covid.
Habari ID: 3475446    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/01

Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA)- Operesheni ya kuosha na kusafisha Ka’aba Tukufu huko Makka imekamilika ili kuandaa mahali patakatifu kwa ajili ya Hija ijayo.
Habari ID: 3475335    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/04

TEHRAN (IQNA)- Sherehe imefanyika mjini Makka Jumapili kubadilisha pazia la al-Kaaba Tukufu linalojulikana kama Kiswa baada ya kuwadia mwezi wa Dhul Hija ambao ni mwezi wa kutekeleza Ibada ya Hija.
Habari ID: 3472988    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/22