IQNA

Mji wa Makka

Neema ya mvua katika Kaaba Tukufu (+Video)

15:25 - November 13, 2022
Habari ID: 3476080
TEHRAN (IQNA) – Mvua kwa kawaida hunyesha katika mji mtakatifu wa Makka kwa kiasi kidogo kati ya Novemba na Januari. Ijumaa, Novemba 11, ilikuwa siku ya neema ya mvua katika mji mtakatifu.

Washiriki wa Hija ndogo ya Umrah katika Kaaba tukufu huko Makka walirekodi mandhari ya kuvutia wakati mvua ilipokuwa ikinyesha

Tayari viongozi wa Makka walikuwa wameshafanya maandalizi ya msimu wa mvua ikiwa ni pamoja na kukarabati vifaa na maeneo ya kutiririsha maji ya mvua.

Picha ifuatayo inaonyesha jinsi mahujaji wanavyofurahia siku ya mvua kwenye mahali patakatifu.

Kishikizo: kaaba mvua makka
captcha