IQNA

Zifahamu Dhambi/ 6

Majeshi ya Hekima na yale ya Ujinga

20:46 - November 11, 2023
Habari ID: 3477876
TEHRAN (IQNA) – Ili kuyajua vyema madhambi, Hadithi mashuhuri ambamo wanachama wa majeshi ya hekima na ujinga wameorodheshwa inaweza kuwa muongozo mzuri sana.

Kwa mujibu wa riwaya Sama’a ibn Mihran anasema idadi kadhaa ya watu walikuwa pamoja na Imam Sadiq (AS) wakati mada ya hekima na ujinga ilipokuja.
Imamu Sadiq (AS) amesema: Ijueni akili (hekiman) na jeshi lake na pia jueni ujinga na jeshi lake ili mpate kuongoka.
Sama’a anasema Imam Sadiq (AS) alifafanua kwanza akili au hekiman na ujinga na kisha akataja sifa 75 za jeshi la akili na 75 za  jeshi la ujahilia.
Imamu Sadiq (AS) ameongeza kuwa Mitume wa Mwenyezi Mungu, watu wa Mwenyezi Mungu na kila muumini wa kweli wamejizatiti kwa jeshi la wenye hekiman..

Kishikizo: dhambi
captcha