iqna

IQNA

Bismillah
Sura za Qur'ani /9
TEHRAN (IQNA) – Sura zote ndani ya Qur’ani Tukufu zinaanza na sentensi “Kwa Jina la Mwenyeezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu” ( Bismillah Ar-Rahman Ar-Raheem) isipokuwa Sura At-Tawbah.
Habari ID: 3475414    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/23