Waislamu Ulimwengu wa Magharibi
Tuzo ya Heshima ya Mfalme nchini New Zealand mwaka huu imekabidhiwa Maysoon Salama, mwalimu wa Kiislamu, mwandishi, na kiongozi wa jamii, kwa huduma zake za elimu na jamii ya Kiislamu.
Habari ID: 3477113 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/07
Qur’ani inasemaje/ 8
TEHRAN (IQNA) - Kuheshimu wazazi ni mojawapo ya mafundisho makuu ya maadili ya Uislamu na Qur’ani inalipa suala hili umuhimu mkubwa sana.
Habari ID: 3475389 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/17
TEHRAN (IQNA)- Vijana kadhaa wa Sweden wenye misimamo ya kufurutu mpaka wamefanya kitendo cha kishenzi cha kuivunjia heshima Qur'ani tukufu kwa kuchukua msahafu na kuuchoma moto mbele ya jengo la bunge la nchi hiyo.
Habari ID: 3473293 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/25
Wananchi wa Mauritania wameandamana katika maeneo mbalimbali ya mji mkuu, Nouakchott kulaani kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 1383053 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/03/04