IQNA

Maonyesho ya Misahafu ya Kale katika Jumba la Makumbusho la Kitaifa la Iran

TEHRAN (IQNA) - Sambamba na mwezi mtukufu wa Ramadhani, Jumba la Makumbusho ya Kitaifa la Iran yenye makao yake Tehran yanaandaa maonyesho ya Misahafu (nakala za Qur'ani) ya Kale.