IQNA

Wabunge Waislamu Marekani walaani hujuma dhidi ya Mwislamu mgombea umeya wa New York, Zohran Mamdani

Wabunge Waislamu Marekani walaani hujuma dhidi ya Mwislamu mgombea umeya wa New York, Zohran Mamdani

IQNA – Wabunge wote Waislamu wa Bunge la Marekani wametoa taarifa ya pamoja kulaani mashambulizi ya chuki dhidi ya Uislamu yaliyomlenga Zohran Mamdani, mgombea wa Umeya wa Jiji la New York, ambayo yametokea kutoka kwa wanasiasa wa chama tawala cha Warepublican na hata baadhi ya Wademocrat.
22:32 , 2025 Jun 28
Hali ya maombolezo Baina Haramain huko Karbala kufuatia kuingia kwa Muharram

Hali ya maombolezo Baina Haramain huko Karbala kufuatia kuingia kwa Muharram

IQNA – Pamoja na kuwasili kwa mimu wa  huzuni katika mwezi wa Muharram, mitaa inayoelekea kwenye makaburi matakatifu ya Imam Hussein (AS) na Hazrat Abbas (AS) huko Karbala, Iraq, imeanza kushuhudia maombolezo makubwa.
22:10 , 2025 Jun 28
Spika wa Bunge la Iran: Umoja na Uwepo wa Wairani ndiyo jibu kuu kwa Israel

Spika wa Bunge la Iran: Umoja na Uwepo wa Wairani ndiyo jibu kuu kwa Israel

IQNA – Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Bagher Ghalibaf, ameisifu hadhira kubwa ya Wairani waliohudhuria mazishi ya pamoja yaliyofanyika Jumamosi mjini Tehran kwa ajili ya mashujaa waliouawa shahidi katika hujuma ya hivi karibuni ya Israel dhidi ya Iran.
21:57 , 2025 Jun 28
Ndege za kuwarejesha Mahujaji wa Kiirani zaanza tena safari

Ndege za kuwarejesha Mahujaji wa Kiirani zaanza tena safari

IQNA – Operesheni ya kuwarejesha Mahujaji wa Kiirani wa Hija nchini kwa njia ya anga ilianza tena Alhamisi.
21:16 , 2025 Jun 28
Mazishi ya mashahidi  Wairani wa jinai za Israel ni dhihirisho la umoja na kupinga ubeberu

Mazishi ya mashahidi Wairani wa jinai za Israel ni dhihirisho la umoja na kupinga ubeberu

IQNA-Leo Jumamosi tarehe 28 mwezi Juni 2025 inayosadifiana na tarehe pili Muharram 1447 Hijria Tehran inashuhudia shughuli kubwa na ya kihistoria ambapo zaidi ya mashahidi 60 wa muqawama kuanzia makamanda wa jeshi hadi raia wa kawaida wa wanawake na watoto, wameagwa na umati mkubwa wa wananchi wanamapinduzi wa Iran.
13:41 , 2025 Jun 28
19