iqna

IQNA

abbas
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amekosolewa vikali kwa kukutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3474739    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/29

Katika mkesha Tasu'a ya Imam Hussein AS, waislamu, hasa wa Madhehebu ya Shia wameghiriki katika maombolezo kwa mnasaba wa siku hii.
Habari ID: 3474202    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/18

TEHRAN (IQNA)- Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina Mahmoud Abbas amelaani mapatano ya hivi karibuni yaliyofikiwa ya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia baina ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na utawala haramu wa Israel na kuyataka kuwa ya kipuuzi na yasiyo na maana kwa Wapalestina.
Habari ID: 3473083    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/19

Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imeitisha kikao cha dharura cha viongozi wa nchi za Kiislamu kujadili kadhia ya Quds na Msikiti wa Al Aqsa.
Habari ID: 3339755    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/07