IQNA

Vyombo vya habari Uingereza vina mtazamo hasi kuhusu Waislamu

TEHRAN (IQNA)-Baadhi ya vyombo vya habari vya Uingereza vina mtazamo hasi kuhusu Uislamu na Waislamu na hali hivi sasa ni mbaya zaidi ya ilivyokuwa mwaka...

Ustadh Sagar wa Kenya awahimiza vijana kufungamana na Qur'ani

TEHRAN (IQNA)-Hafidh wa Qur'ani Tukufu kutoka mji wa Mombasa nchini Kenya, Ustadh Haitham Sagar Ahmad anasema Qur'ani Tukufu ndio njia pekee ya kutatua...

'Misikiti itembeayo' kutumika katika Olimpiki nchini Japan 2020

TEHRAN (IQNA)- Kuna mpango wa kutumia 'Misikiti itembeayo' katika michezo ya Olympiki na Paralimpiki mjini Tokyo, Japan mwaka 2020 kwa lengo la kuwasahilishia...

Kiongozi wa upinzani Uingereza akosoa chuki dhidi ya Uislamu nchini humo

TEHRAN (IQNA)-Kiongozi wa upinzani Uingereza Jeremy Corbyn ametembelea misikiti kadhaa siku ya Jumapili na kukosoa vikali chuki dhidi ya Uislamu nchini...
Habari Maalumu
Mabango ya kampeni ya kuunga mkono Hijabu Chicago, Marekani

Mabango ya kampeni ya kuunga mkono Hijabu Chicago, Marekani

TEHRAN-(IQNA)-Kundi la Kiislamu la GainPeace lenye makao yake katika mji wa Chicago nchini Marekani limezindua kampeni ya mabango yenye kuunga mkono hijabu...
17 Feb 2018, 12:00
Rais Rouhani ataka Waislamu duniani waungane mbele ya maadui wengine wa Uislamu
Katika Sala ya Ijumaa Hyderabad, India

Rais Rouhani ataka Waislamu duniani waungane mbele ya maadui wengine wa Uislamu

TEHRAN (IQNA)- Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya umuhimu wa umoja na mshikamano miongoni mwa Waislamu kote duniani,...
16 Feb 2018, 22:36
Wapalestina 54 wafariki baada ya Israel kuwanyima vibali vya matibabu

Wapalestina 54 wafariki baada ya Israel kuwanyima vibali vya matibabu

TEHRAN (IQNA)-Wapalestina wasiopungua 54 walipoteza maisha mwaka 2017 baada ya utawala haramu wa Israel kuwanyima vibali vya kupata matibabu nje ya eneo...
15 Feb 2018, 10:41
Misikiti 200 Uingereza kufungua milango kwa wasiokuwa Waislamu Jumapili

Misikiti 200 Uingereza kufungua milango kwa wasiokuwa Waislamu Jumapili

TEHRAN (IQNA)-Waliowengi nchini Uingereza wana ufahamu mdogo sana kuhusu Uislamu na kwa msingi huo, zaidi ya misikiti 200 nchini humo itafungua milango...
14 Feb 2018, 14:55
Al Azhar yasisitiza kuhusu kuadhibiwa magaidi wa ISIS wanaorejea makwao

Al Azhar yasisitiza kuhusu kuadhibiwa magaidi wa ISIS wanaorejea makwao

TEHRAN (IQNA)- Idara ya kupamabana na misimamo mikali katika Chuo Kikuu cha Al Azhar cha Misri imesema wafuasi wa kundi la kigaidi la ISIS (Daesh) wanaorejea...
13 Feb 2018, 19:47
Nakala 20,000 za Qur'ani Kusambazwa Amerika ya Latini

Nakala 20,000 za Qur'ani Kusambazwa Amerika ya Latini

TEHRAN (IQNA)-Taasisi ya Masuala ya Kidini –Diyanet- ya Uturuki (TDV) imetoa zawadi ya nakala 20,000 za Qur'ani Tukufu ziliotarujumiwa kwa Kihispania kwa...
12 Feb 2018, 12:37
Wananchi wa Iran wajitokeza kwa Mamilioni kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu

Wananchi wa Iran wajitokeza kwa Mamilioni kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu

TEHRAN (IQNA)- Wananchi wa Iran leo wamejitokeza kwa mamilioni katika katika matembezi ya maadhimisho ya mwaka wa 39 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu...
11 Feb 2018, 20:35
Jeshi la Syria latungua ndege ya Israel katika Miinuko ya Golan

Jeshi la Syria latungua ndege ya Israel katika Miinuko ya Golan

TEHRAN (IQNA)-Jeshi la Syria limetungua ndege moja ya kivita ya utawala haramu wa Israeli aina ya F-16 ambayo ilikuwa imetekekeza hujuma ndani ya ardhi...
10 Feb 2018, 20:38
Serikali ya Senegal yafadhili vituo vipya vya Qur'ani

Serikali ya Senegal yafadhili vituo vipya vya Qur'ani

TEHRAN- (IQNA) Serikali ya Senegal imetangaza mpango wa kuanzisha vituo vipya 21 vya Qur'ani tukufu katika mji wa Kaffrine, kati mwa nchi hiyo.
09 Feb 2018, 10:09
Myanmar inaendeleza maangamizi ya kimbari dhidi ya Waislamu Warohingya
Amnesty International

Myanmar inaendeleza maangamizi ya kimbari dhidi ya Waislamu Warohingya

TEHRAN (IQNA)-Jeshi la Myanmar lingali linatekeleza mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini humo kwa kutumia mbinu kadhaa.
08 Feb 2018, 12:28
Mufti wa Libya alaani namna Saudia inavyowadhulumu wanazuoni wa Kiislamu

Mufti wa Libya alaani namna Saudia inavyowadhulumu wanazuoni wa Kiislamu

TEHRAN (IQNA)-Mufti mkuu wa Libya amelaani vikali namna utawala wa kifalme Saudia unavyowakandamiza wanazuoni wa Kiislamu.
07 Feb 2018, 19:33
Mahakama Ujerumani yapiga marufuku adhana

Mahakama Ujerumani yapiga marufuku adhana

TEHRAN (IQNA)-Mahakama moja nchini Ujerumani imepiga marufuku adhana kwa kutumia vipaza sauti katika msikiti moja kwa madai kuwa eti wasiokuwa Waislamu...
06 Feb 2018, 20:06
Uganda yaidhinisha sheria za mfumo wa benki za Kiislamu

Uganda yaidhinisha sheria za mfumo wa benki za Kiislamu

TEHRAN (IQNA)-Serikali ya Uganda imeidhinisha sheria za mfumo wa benki za Kiislamu huku benki kuu nchini humo ikitazamiwa kuchapisha rasmi sheria hizo...
05 Feb 2018, 17:02
Msikiti wahujumiwa The Hague, Uholanzi

Msikiti wahujumiwa The Hague, Uholanzi

TEHRAN (IQNA)-Watu wasiojulikana wameuhujumu na kuharibu msikiti katika mji wa The Hague nchini Uholanzi.
04 Feb 2018, 22:06
Ukandamizaji Bahrain walaaniwa na mashirika ya haki za binadamu, UN, Magharibi kimya

Ukandamizaji Bahrain walaaniwa na mashirika ya haki za binadamu, UN, Magharibi kimya

TEHRAN (IQNA)- Utawala wa Aal Khalifa nchini Bahrain unaendelea kutekeleza sera za ukandamizaji dhidi ya wapinzani ikiwa ni pamoja na kuwanyonga, kuwatesa,...
03 Feb 2018, 21:20
Picha