Tovuti hiyo ya https://www.mp3quran.net/sw ina sauti ya tilawa za zamani na za sasa za wasomaji wa zamani na wa sasa wa Qur'ani Tukufu.
Majina ya wasomaji au maqarii yamepangwa kwa alfabeti ili kumrahisishia mtafutaji uwezo wa kupata qarii amtakaye.
Tovuti hii ina lugha 21 kama vile Kiswahili, Kiingereza, Kiarabu, Kifarsii, Kichina, Kihausa, Kijerumani n.k.